Namna ya kutafuta scholarship ya masters

Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona

Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Mimi hapa umenipata
 
Unaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
 
Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona

Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Usijali Dada Mme utaopata kupitia Uzi huu, kama nadanganya chungulia pm yako wanaume wa Jf wako smart kwenye hii sekta😀😀😀
 
Unaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
Ni kweli but sipo interested kusoma nje kwa sasa
 
Malengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona

Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
Samahani, hiyo avatar ni wewe?
Kama ndivyo basi mimi ndo mume na nataka nikukute hapohapo, sio huko kwenye masters
 
Unaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
Hataki nje
 
Wacheki DAAD huwa wanakuwa na ufadhili wa ndani na nje ya nchi

Sina specific link kwa sasa, ila ni taasisi maarufu ya kijerumani, ukiigoogle tu itakuja.Cheki huko kama unafit vigezo vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…