Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

Sijasema hawajajiandikisha,nimesema kwa wingi Kama upande wa pili
 
Gap kubwa kuna alizoondoka Nazo Slaa,Lowasa na Sumaye

Kuna za UKAWA walizoondoka nazo
Za UKAWA zaweza kuwa theluthi mbili kura milioni NNE kwa hiyo chadema inabaki na kura milioni Mbili zake

Hizo milioni sita za Lowasa sio mchezo Lisu hawezi kuzifikia hata afurukute vipi hazifikii kufikisha kura milioni hata tatu kwake itakuwa muujiza tena mkubwa mno na hauwezi kutokea
 
Unashawishi njaa au shibe,Hadi vijijini tegemeo lenu wamekukataeni sababu ya njaa,mtapata dodoma pekee yake,
Kusini mmekimbia kupeleka fiesta,Kanda ya ziwa mmebomolewa Hadi vijijini,kagera,kigoma,awataki hata kusikia, Arusha, Manyara, kilimanjaro mmewabagua kuwapelekea maendeleo 5 yrs ili kuwakomoa Kama kimara hizo milioni 3 zitoke wapi.Kama tu boss wako anapiga hadii magoti na ubabe wake we nani kipofu
 
Utakuwa hujaelewa post. Isome tena kwa makini.
 

Ukisomesha watu namba watakusomesha kura,hii ndo kanuni,so muwe wapole
 
Inawezekana lakini pia isiwezekane.

Jambo la muhimu kutafakari je nini sababu iliyopelekea wananchi mil 6 kumpigia kura EL/Ukawa, jibu rahisi walihitaji mabadiliko.

Swali la pili Mabadiliko hayo wameyapata?

Kama mil 6 kura zilizopigwa kipindi vyuma havijakaza , je wakati vyuma vimekaza zitapatikana kura ngapi?

Tunapata shida kwa sababu tumewafungia researchers wasifanye kazi, Eyakuze alipewa kesi sio Raia N.k ila wao wangetupa picha nzuri sana kuhusu awamu hii.
 
Lowassa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.
Hata Mimi nilikuwa Wa alowassa na ninakiri nilimpigia kura lowassa ila
Nilurudi CCM Mapema tu nahisi week Tatu baada ya CHUMA kuapishwa na kuanza kupiga kazi. Nilijua kabisa Aina ya Rais anaehitahika Tanzania ni Huyu
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ kwa broo Punguza Kura Yangu Hapo unapisema zimebaki vile vile

HATUWEZI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI
 
Sawa 6m - 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…