mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,732
- 1,610
Naikumbuka sana hii hotuba, ilikuwa ule mkasa wa DAB. Siku zinaenda haraka sana kwenye maisha ya siasa.Mkuu nusu ya waliompigia JPM 2015 hawamtaki tena. JPM ana nyodo na maneno ya shombo. Sikiliza hapa.
View attachment 1603415
Unadhani waliompigia Lowassa watampigia Magufuli? au sababu ambazo ziliwafanya kumpigia Lowassa ndugu JPM kazitatua?Lowasa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.
Kama uchaguzi ukiwa huru na haki hakuna ambaye atakuwa na tatizo na hilo.October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.
Msikilize Pole Pole hapo juu, CCM wamewafunda wanachama wao na uhakika wa kura ulivyokaa leo hii akiongea na waandishi.
Mbowe anawanachama wangapi nchi nzima?. Au umekalia ushabiki tu.Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.
Rais Magufuli pia hajawavuta wapiga kura wa mtaani wa Upinzani kuja CCM. Aliwavutia wale waliokuwa kwenye nafasi za uongozi tu, ambao kuna tuhuma kama walinunuliwa.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Kuna Watanzania wengi ambao wameona kazi alizofanya JPM. FYI JPM hana mpinzani whether you like it or not.Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.
Rais Magufuli pia hajawavuta wapiga kura wa mtaani wa Upinzani kuja CCM. Aliwavutia wale waliokuwa kwenye nafasi za uongozi tu, ambao kuna tuhuma kama walinunuliwa.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Kura hazipigwi na wanachama. CCM haina wanachama mil 8.Mbowe anawanachama wangapi nchi nzima?. Au umekalia ushabiki tu.
Kazi zipi?Kuna Watanzania wengi ambao wameona kazi alizofanya JPM. FYI JPM hana mpinzani whether you like it or not.
Hongereni sana kwa hilo?Chadema hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu. Ccm tayari ushindi tunao ila tunataka wa kishindo.
Naona umemezeshwa kanda inajirudia rudia tu.
Kama ushindi tayari mnao kwa nini Lissu anawashughulisha? Si mtulie tu ikifika tar 29 muapishwe?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Walienda kwa Lowasa si kwa sababu walikuwa na shida bali walikuwa ni washabiki wake toka zamani na ni wana CCM, kwa hiyo huko chadema hawakuwa na ndugu tofauti na Lowasa.Unadhani waliompigia Lowassa watampigia Magufuli? au sababu ambazo ziliwafanya kumpigia Lowassa ndugu JPM kazitatua?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Lowasa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.