Ka hujaolewa ni pm.
Binzari nyembamba/binzari ya pilau au cumin kwa kimombo!farkhina asante sana
Mie napenda kupika hasa kujaribu vitu vipya...hili nitalifanyia kazi w/kend hii afu nitakupa mrejesho
NB : Uzile ndo nini yakhee
Binzari nyembamba/binzari ya pilau au cumin kwa kimombo!
Ahsante mpenzi kwa receipe nitatengeneza weekend inshallah!
Hahahahahahahab LOL.....nimeshaolewa tayari
Aaaah Sikubali mie mgeni wako.. wakujikaribisha!! Biriani ya Zahfarani(zafron) !! aa aa sipitwii!!!!Ahsante mpenzi kwa receipe nitatengeneza weekend inshallah!
shosti nielekeze jinsi ya kuaplod picha..uone mambo nlofanya!nmesoma nkawahi kurekebisha!
thanx jf ..
nmekuwa active jikoni.
Far..instead of zabibu nmetumia cranberriez..tamuje
Karibuuu sanaaaa....Aaaah Sikubali mie mgeni wako.. wakujikaribisha!! Biriani ya Zahfarani(zafron) !! aa aa sipitwii!!!!