Namna ya kusitisha mahusiano kisaikolojia

mansolata

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
503
500
Habari mwana jf

Kunachunguzi nyingi za kisayansi ambazo hutumiwa na wataalam wa saikolojia katika majaribio ya kitabia kwa binadamu na wanyama wengine.

Majaribio mengi ya Wanasaikolojia yalibaini kua mahusiano ya X na Y huimarika kwa kua namuendelezo wa kihuduma na hufifia pindi tu huduma zinapopungua na kukosena

Hebujifunze kitu wewe unaetaka kuvunja mahusiano leo hii, hutakiwi kutoa kauli za moja kwa moja(makavu live) kwa ajili ya kuvunja uhusiano bali mpunguzie yale ayapendayo hatimaye acha kabisa.

Mbinu hizi za kisaikolojia zinapotumika huepusha uhasama na hata misongo ya mawazo pia ni rahisi kulitawala tena koloni lako pale unapoona limestawi


Nawasilisha
 

mansolata

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
503
500
Inategemea na jinsi ulivyokuwa unampa mapenzi kuna watu hata wakiwa na magari watarudi uswahilini kutafuta ma x wao maana wanajua nini walikipata kutoka kwao.
Kumbe huduma iliendele kwa speed ileile ndo manawanarudi huswahilini kufata huduma
 

gwangaeto

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
420
500
Yaaa sema ukipata jikejinga atajua unamuonea xo badala kujirekebisha anaanza lawama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom