Namna ya Kusimika Dish la Startime

Namna ya Kusimika Dish la Startime

Theory ni rahisi.kimbembe kipo kwenye practical.umejitahdi sana kuelezea.
Ila ukija kulifunga dish ndo mziki.
Hamna mziki wowote. Mimi tabu ninayopataga ni kama nikiamua waya upite ndani ya bati , hiyo kutambaa kule ndiyo pananipa changamoto..kupishana na mapopo nk...
Tofauti na hapo hamna changamoto kwangu.
 
Kula tano
Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...

Furahia ulimwengu wa kidigitali.
 
Huu ushauri nimeupenda japo sio wakitaalamu
 
Nipo vzr mkuu, japokuwa nakua natetemeka kwa woga hivi ila nikishaweka taa afu nikawasha ikiwaka napumua kwa nguvu tehteeh. sipendagi mazoea na vitu vya umeme mimi
hahh.. ukipigwa shoti unajifunza zaidi!.. hauwezi kukuua utakuchangamsha tu!..
Me napigwa sana shoti wakati wa kuconnect charger huwa natumia chochote kwenye me socket sasa unakuta metumia chuma!.
 
hahh.. ukipigwa shoti unajifunza zaidi!.. hauwezi kukuua utakuchangamsha tu!..
Me napigwa sana shoti wakati wa kuconnect charger huwa natumia chochote kwenye me socket sasa unakuta metumia chuma!.
ahaa mi sitaki kabisa mambo yanayohusu umeme. nilishawahi kurushwa na ile heater ya kudumbukiza sina hamu kbs
 
Kiufupi dish la star times unalielekeza nyuzi 5e chini kidogo ya azam
Cha kwanza dish huelekezwa upande linapozama jua
Baada ya kuligongelea liweke dish kama linataka kusimama
Nenda kwa king'amuzi kama frequency zipo okey kama hamna
Frequency 11966
Symborate 27500
Polarization Horizontal
Hapo utachezesha dish kidogo kidogo hadi utakapopata signal
Mkuu mambo sawa kama wasojulikana,Naangalia zangu Isidingo saizi
 
Back
Top Bottom