Namna ya Kusimika Dish la Startime

Namna ya Kusimika Dish la Startime

Hahahahaha itabidi nikufundishe.
Na kufungua na kubadilisha vitasa vya mlangoni pia. Na kukaza nut za kitanda.
Ili mafndi wasipate nafasi ya kuja kukurubun ndani kwako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,kweli itabidi nije kuchukua course kwako ,safi sana badala ya kumwita Fundi unamaliza Kazi mwenyewe, nimekupenda buree
 
Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...

Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Dah you so hot!.. Haya mambo bibi Shunie hayawezi yeye hata kutoa taa iloungua mpaka fundi!..
 
Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...

Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Kweli jf ni mambo yote kila kitu unapata
 
Ingekuwa rahisi kufunga dish hivi.
Basi kila mtu angekuwa fundi.
 
Back
Top Bottom