Namna ya Kusimika Dish la Startime

Namna ya Kusimika Dish la Startime

KMMS

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
304
Reaction score
587
Wakuu habarini za asubuhi?
Samahanini wakuu,Leo nipo huku Upareni milimani Mamba Miamba sasa Wazee wangu nimewanunulia dish la Startime sasa ishu ipo kwenye how to install iyo kitu,Kidogo nina uzoefu na Dish la Azam japo sio Fundi ila Naibia ibia kijanja,Naombeni mwenye utaalam na Star time anieleweshe nafanyaje ili kulisimika maana eneo nililopo hakuna mafundi,Tafadhalini sana nisaidieni,Ahsante!
 
....
Fanya kama ulivyofanya kwa azam; maelekezo yatafuata!
 
Asante mkuu,Ila naomba kujua kama kuna frequency unaingiza au inakuaje? Naomba pia kujua signal nasomea wapi maana naona ni 0% Sasa ili ujue kiwa signal ipo vzr unaisomea wapi?
 
...
ni tomatik. Ukipata sat yake inashusha. Je umesimika tayari?
 
Asante Mkuu,Bado sijasimika nilisubiri maelekezo,Sasa ntasimika then nitaelekeza dish kule kule kwa siku zote ili nianze ku- search,Ili nijue kama sat imekamata nitaona ishara gani.............,
 
Asante mkuu,Ila naomba kujua kama kuna frequency unaingiza au inakuaje? Naomba pia kujua signal nasomea wapi maana naona ni 0% Sasa ili ujue kiwa signal ipo vzr unaisomea wapi?
Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...

Furahia ulimwengu wa kidigitali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...

Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Umekua mwalimu mzuri sana,Ahsante!
 
uko vzr, wewe ni fundi wa mambo hizo Cute?
 
Kiufupi dish la star times unalielekeza nyuzi 5e chini kidogo ya azam
Cha kwanza dish huelekezwa upande linapozama jua
Baada ya kuligongelea liweke dish kama linataka kusimama
Nenda kwa king'amuzi kama frequency zipo okey kama hamna
Frequency 11966
Symborate 27500
Polarization Horizontal
Hapo utachezesha dish kidogo kidogo hadi utakapopata signal
 
Back
Top Bottom