kudath omar
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 177
- 215
Habari za hapa ndugu zanguni...
Naomba kuuliza kwa anaefahamu namna ya kupata link ya image unapotaka kupost katika forum (natarajia wengi humu wanafahamu).
Hasa kama picha ikiwa katika computer na wala si ile ya mtandaoni..
Katika maelezo ya ziada pia naomba nisaidiwe namna ya kupost video na doc kipindi naanda new thread