Namna ya kupata Satellite FTA Tv channels

Namna ya kupata Satellite FTA Tv channels

laut

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
 
Nunua DSTV mkuu hutajuta, achana na hayo madish yapo locally sana. Utaangalia movie+sports+wwe+news hadi kichwa kikuume.
 
1.tafuta fundi akufanyie
2.ukiingia tu jukwaa hili juu utaona uzi umeandikwa ulimwengu wa fta usome mpaka uweze kufanya mwenyewe
 
Back
Top Bottom