Namna ya kupata mke

Nenda kwenye makanisa ya wanaojiita manabii na mitume utawaona wale wanaokuja kuombewa ili wapate ndoa hapo hapo komaa na mmoja wao.

Tongoza mfanyakaz mwenzio, ama rafiki yako wa kike unae ona anafaa kuwa mkeo

Wambie wazazi wako umekomaa unaitaji mke sasa (ni njia ya kizamani na kishamba lakin tambua kila mzazi anategemea mema kwa mtoto wake kwaiyo watakutaftia wanaemuona anaweza kukupa hayo mema.
 
Kila siku tongoza mademu watatu,

Hesabu itakuwa hivi:-
30x3=90, kama zoezi ni endelevu kwa miezi minne utakuwa umetongoza mademu 360

Hata uwe na gundu gani hapo lazima utapata hata mademu 100
Jiandae kuliwa vihela vyako(vocha,nauli, n.k)

Hata mvuvi anaweka chambo kwenye ndoano ili amnase samaki, na vile vile chambo inaweza kuliwa na samaki akatokomea kusikojulikana....
 
Back
Top Bottom