Namna ya kupata AVN ili ni apply chuo

ombeni34

Member
Aug 17, 2020
44
15
Naombeni mnielekeze nimemaliza diploma na nahitaji kuapply chuo ila kuna sehemu inataka niweke AVN. Je, naipataje hiyo na chuo ni mbali?
 
Naombeni mnielekeze nimemaliza diploma na nahitaji kuapply chuo ila kuna sehemu inataka niweke AVN. Je, naipataje hiyo na chuo ni mbali?
Uliza chuo chako kama tiyari wamepeleka matokeo yako NACTE.maana bila wao kupeleka matokeo,AVN huwezi kupata...!
 
Back
Top Bottom