Uliza chuo chako kama tiyari wamepeleka matokeo yako NACTE.maana bila wao kupeleka matokeo,AVN huwezi kupata...!Naombeni mnielekeze nimemaliza diploma na nahitaji kuapply chuo ila kuna sehemu inataka niweke AVN. Je, naipataje hiyo na chuo ni mbali?
njoo inboxKwa wale wanaotaka kufanya mtihani wa mwisho wa Diploma watapataje AVN?
njoo inbox
Kwan kuomba mkopo ni mpaka uwe na AVN?wakuu mm ninayo avn ila sina cheti naweza omba mkopo
Kwan kuomba mkopo ni mpaka uwe na AVN?
Inaonesha process sio ndefu hata hiki kitecno-W changu kinaweza kunisupport.. EtyUnaomba kwenye mitandao ni simple sana at dakika kumi aziishi
Kiongozi natumia freebasics ingia wewe in-bobo itakuwa rahisi kukufollow
Freebasic unayotumia we ni ya aina gani, me mbona natumia na mambo mengi yanakubali.. Tena kama kuzama- PM ya member yeyote ni Easy tu