Namna ya kuota ndevu haraka

omaryrtz

Member
Nov 2, 2019
82
150
Hormones na vinasaba vinahusika katika hili ila Kwa umri wako endelea kuwa mvumilivu kidogo at least 23-25 ndipo unaweza kuingiwa shaka.

Kama unatabia ya kuzama chumvini acha.!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom