ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,527
- 44,622
Haha wenye nazo tumetulia tu
Kabisa..wewe saka pesa hakikisha dushe liko poa...heshima zote utazipata kitaa na kitandani.
Mkuu familia yetu wote wanazo kuanzia babu, wajomba hadi mzee wangu pia anazo ..Ukihitaji sayansi yakubidi urudi kwenye hormone zako cheza nazo hizo au genes za ukoo wenu zikoje babu na babu mkuu wote walikuwa na videvu laini wewe unataka uoake kimiminika fulani uote ndevu? How is that possible genetically?
Zimekuja naturally au ??Haha wenye nazo tumetulia tu
Naturally tu mkuu
Naturally tu mkuu
Unene au wembamba hiyo ni juhudi zako binafsi lakiniWakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Watu tumechoka kunyoa ndevu wengine mnazitaka??Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Sijaomba Mahubiri mkuu ..acha ujinga jikubali.
unaweza ukapewa dawa ya kupaka ukapata kansa ya kidevu ngozi ikaoza ukafa. hapo umepata faida gani?
Mungu kakuumba hivyo usipende kujitakia yasiyo ya kwako. ndevu zitakuja tu wewe tafuta pesa.. kama unatak heshima tafuta pesa hizo ndevu hazina heshima zaidi ya mpunga
Hii kingereza ya kisukuma
Ok nisahihishe, how was I supposed to phrase it ? ..Hii kingereza ya kisukuma
Na tangu lini home remedies zikawa na kemikali ?? ..ndio ushayapata sasa. hili ni jukwaa huru tutakuhubiria utake usitake
sawa mheshimiwa mjuajiNa tangu lini home remedies zikawa na kemikali ?? ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
za chini bado unataka za kidevu! watoto bhana..! bas kuna limama linakukataa kisa mdogo! unajiona mjaanja..
Wewe ndo unaleta ujuaji sababu nimeuliza home remedies nikimaanisha labda aina gani ya vyakula napaswa kula, labda spices gani napasa kuongezea kwenye chakula au kunywa maji kwa wingi ila wewe unakuja na upuuzi wako wa kemikali, huoni kama wewe ndo mjuaji hapo ? ..sawa mheshimiwa mjuaji
matusi ya nini tena babu kuitana wapuuzi. anyway sawa baki na thread yako.Wewe ndo unaleta ujuaji sababu nimeuliza home remedies nikimaanisha labda aina gani ya vyakula napaswa kula, labda spices gani napasa kuongezea kwenye chakula au kunywa maji kwa wingi ila wewe unakuja na upuuzi wako wa kemikali, huoni kama wewe ndo mjuaji hapo ? ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Sikushauri kabisa ... Let the nature take its causeWakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Sawa mkuu ..Sikushauri kabisa ... Let the nature take its cause
Lipia ada kwanza...Elimu bure mbayaOk nisahihishe, how was I supposed to phrase it ? ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Mashavuni sio ndevu, hizi nywele kila zilipo zina lake