Namna ya kuondoa uchafu ndani ya touch screen

Gini

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
398
385
Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Nimepeleka simu yangu jwa fundi kwa ajili ya kubadilisha touch screen. Amefanikiwa kubadilisha, lakini baada ya kufika nyumbani nikagundua kuwa kuna uchafu nauona ndani ya screen. Aina ya vumbi, ipo ndani ya kioo, nimetoa protector nikifikiri upo chini ya protector lakini nikagundua uko ndani ya touch.
Naomba kujua namna ya kuutoa. Nawasilisha.
TECNO C9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uza hiyo tecno ununue Simu....otherwise mrudishie aliyeichafua aisafishe
 
Yaan wabongo kwa mbwembwe, mnavyodis tecno ,utadhani wote humu MNA iPhone, wakat tecno ndio zinawaweka kwenye ulimwengu wa mitandao

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Wanakuwa kama slay queen asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi iliotengeneza TECNO wamejaaliwa kubip
Mimi nilishawahi kutumia teckno C9 nkimpigia mtu ikiita tu,yaani akipokea cm yangu inakata papo hapo na dakika za kutosha,palepale nliempigia ananikol back
Aseee nlikua najiskia aibu saaana
Hio tabia iliendelea mara kwa mara,nkaachana na tecno C9 nikachkua C7 ***** hali ile ile namkol jamaa ikakata alivopokea..mda huo huo akanikol huku akinambia “acha tabia ya kubip bip”
Wakt sim inadakika 120 kupiga mitandao yoote
Aseeeee mda huo huo niiliibamiza simu ktk kibaraza.
Bora utumie ki tochi kuliko Tecno android
Kwanza tecno ni bingwa kwa kustak pili weka mfukoni ukiitoa inakua na sura ingine yaani unashangaa uchafu ktk screen kibaya zaidi tecno phone yako ipo hewani lkn mtu anakupigia cm inasema namba unayoipigia haipatkani‍♂️
 
Nchi iliotengeneza TECNO wamejaaliwa kubip
Mimi nilishawahi kutumia teckno C9 nkimpigia mtu ikiita tu,yaani akipokea cm yangu inakata papo hapo na dakika za kutosha,palepale nliempigia ananikol back
Aseee nlikua najiskia aibu saaana
Hio tabia iliendelea mara kwa mara,nkaachana na tecno C9 nikachkua C7 ***** hali ile ile namkol jamaa ikakata alivopokea..mda huo huo akanikol huku akinambia “acha tabia ya kubip bip”
Wakt sim inadakika 120 kupiga mitandao yoote
Aseeeee mda huo huo niiliibamiza simu ktk kibaraza.
Bora utumie ki tochi kuliko Tecno android
Kwanza tecno ni bingwa kwa kustak pili weka mfukoni ukiitoa inakua na sura ingine yaani unashangaa uchafu ktk screen kibaya zaidi tecno phone yako ipo hewani lkn mtu anakupigia cm inasema namba unayoipigia haipatkani
Acha uongo.

Sasa hizi kamba, hii tecno nimeitumia huu mwaka wa pili. Hayo matatizo unayosema sijawahi ya experience mzee baba. Halafu unaona mtu anayetumia Tecno kama mtu aliyepotea au?? Nimeuliza swala lingine unakuja na maelezo mengine, halafu wewe ni mtoto wa kiume ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom