Namna ya kuondoa pattern kwenye simu za Android

Namna ya kuondoa pattern kwenye simu za Android

Ngoja nikusaidie mkuu japo sio rasmi ila endapo utashindwa kabisa ku unlock.

N.B... Njia hii itakufanya kufuta na kupoteza vitu vyote ulivyokuwa navyo katika simu ni kama ku flash ila hii unafanya mwenyewe na haina gharama.

1.zima simu yako
2.switch on
3.wakati inawaka hakikisha umeshika batani hizi ya kuwasha, kuongeza na kupunguza sauti kwa mara moja.
4.tafuta neno (factor reset)
Hapo utatumia button ya sauti kushusha kisha utatumia button ya kuzima kama "ok".

Hapo utakuwa umereset simu yako na utapoteza kila kitu katika simu... Ikiwa nimekosea unaweza nirekebisha maana si mtaalamu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekosea kwa kweli ila so mbaya sana
 
Kuna njia ya hard ware ambayo mafundi cm kama mm tunaifungua tunatafuta ROM tunatengua kamguu kamoja ka ROM inapoteza kumbukumbu zote na kuanza upya halafu tunachomelea tena ako kamguu
Duuh hii asiifanye kabisa maana inawafaa watundu pekee, isije ikapoteza kumbukumbu MAZIMA
 
Nimekukumbka tu nilikuwa ucngzn CM ikaita nikajikukuta nimetoa .......
Ulikua na wenge la usingizi? Kwanza umetuzuga, simu hiyo hiyo umeitumia ku post hilo swali!

Anyways unaweza kuwa una zaidi ya moja.
 
soma uko nyuma nime quote upya acha uvivu wa kusoma,sasa si umpe njia gani afanye una apa bila kutoa solution
we mbwira kweli kwani alikutuma nani ukurupuke kuandika halafu saa hizi unaniita mvivu na wewe uache kiherehere
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom