Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Duh huu ugonjwa ni shida sana, nina wiki ya 2 sasa tangu nitoke kuumwa, umenisumbua sana mpaka umeharibu saikolojia yangu, uso umebaki spots nyeusi, nakausha tu najua ipo siku vidoti hivi vitapotea tu uso wangu urudi ka zamani
 
Mimi ndo nipo kwenye safari ya ugonjwa siku ya nne leo, vinawasha kama nini
 
Wandugu habari zenu!wapendwa niliugua tetekuwangu mwezi mmoja umepita,nimepona sasa naendelea na masomo/kazi yangu kama kawaidaNimebalkiwa na madoa mwilini especialy sehemu za mgongo,na usoni (reception) kiasi.Hizi madoa zinanikera wandugu natamani kuzichokonoa zitoke !chenyenimefikiri mnishauri dawa isikue jamii ya kichini ili nitumie kuondoa hizi dot com kwa uso!Ahsanteni wapenzi !FB!
Pole kwa kuugua mkuu. Mie mara ya mwisho kuugua huo ugonjwa ilikuwa darasa la 3 primary. Sijui umeupataje
 
Kunasabuni moja ya matunda mchanganyiko,kuna mama mmoja pale kibaha maili moja alinipa ilinisaidia pakubwa,labda niwaelekeze wakuu kwa huyo mama ni pale stand tu
 
Kunasabuni moja ya matunda mchanganyiko,kuna mama mmoja pale kibaha maili moja alinipa ilinisaidia pakubwa,labda niwaelekeze wakuu kwa huyo mama ni pale stand tu
Tupe maelekezo ndo njia zangu hizo, mi mwenyewe nakaribia kupona sasa!!
 
Back
Top Bottom