Namna ya kuondoa madoa kwenye sink ya Ceramic

Namna ya kuondoa madoa kwenye sink ya Ceramic

Nshasikia pia mafundi wa magari wanaitumia katika teminal za battery za magari.... matumbo yetu masikini

Yeah nishawahi ona...kuna mtu aliniomba nimboost battery yake ikawa inasumbua...akanunua pepsi akasafisha kwa kupiga msasa zile terminal....kuwasha gari faastaa na gari yao ikaitika...nilibaki hoi na kujiuliza kulikoni tena pepsi.????
 
Yamwagie soda ya cocacola au pepsi usiku iache mpaka asubuhi halafu yafute na maji utayapenda

hii ndo dawa...hata gari terminal za betri ya gari zikipata carbon unaoshea coca kitu kinapiga kazi kama kawa
 
Kuna dawa kiboko ya ceramic materials zote kuanzia masink, tiles na hata vyoo ni ndani ya dakika 15 tu haina madhara kabisa na kifaa kinachosafishiwa kwa anaehitaji aniPM au piga namba 0754 771 937 tufanye biashara kwa waishio dar kama mmeskia products za DEKA then hutotaka kutupa sink lako
 
Jaribu ndimu ya unga. .nyunyuzia maji eneo husika kisha kung'utia ndimu ya unga(chenga chenga) baada dk chache 5 hivi sugua. Onyo, wakati unafanya hiyo kazi usiwe na mchubuko kwenye mikono yako maana inauma sana
 
Nimejifunza mengi, ndimu ya unga, pepsi/cocacola, bleach asanteni sana wachangiaji mana sikuwahi hata kuwaza kama hivi vitu vinaweza kufanya kazi hii ya kusafishia sink
 
Hapo ndipo utakapoona ubora wa bidhaa,sink au tiles ya spain au brand nyingine iliyo na quality nzuri uwa ni rahisi sana kuisafisha na kurudi kwenye mng'ao wake wa mwanzo..Sijui Sink zako ni za wapi lakini jaribu clorox uwa ni nzuri sana kwa kuondoa madoa kwenye Sink.
wap naweza ipata clorox
 
Back
Top Bottom