Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

Kitendo cha kupungua idadi ya wabunge mpaka kufikia 15 ni chama kuimarika?

..kura za upinzani zimekua zikiongezeka ktk kila uchaguzi mkuu.

..vyama vya upinzani vinapanda na kushuka.

..Lakini hamu ya mabadiliko na mageuzi nchini imekuwa ikipanda kila uchaguzi mkuu.

..ila tangu vyama vingi virudishwe sijawahi kuona ccm na dola wakipambana na upinzani kwa mabavu na ukatili kama awamu hii.

..hivyo huenda ukatili na mabavu ya ccm na dola unaweza kuzima ndoto ya mabadiliko nchini ktk uchaguzi unaokuja.
 
Poleni saccos inakufa October 2020!
 
Kitendo cha kupungua idadi ya wabunge mpaka kufikia 15 ni chama kuimarika?


hao ndio wapinzani wa dhati

na mliowanunua ni mamluki sawa na $lay Queen tu,hata TLP ikiwataka inawakodi
 
OK hata uchumi umeanguka 2015 uchumi ulikuwa 7% Leo uko 2.2% hill unalionaje? Mkuu
 
Poleni mmebaki na wabunge 15 tu na bado mnafikiria kupewa nchi October 2020!!
Lalasalama pia mnajisifu mumeuwa ngojeni mchanganyikiwe vizuli

Msije tu mkaahirisha uchaguzi
 
Tupe na idadi ya wanachama na wafuasi...
 
Hiyo ni ishara kwamba CHADEMA ni chama kisichojua kulamba matak0 ya watu. Ukizingua unasepa hakuna wa kukubembeleza. Na hiyo ndo namna chama kinatakiwa kuwa.
 
Hizo takwimu mnazitoa wapi?

..tatizo ni VIJANA waliokua wakati wa mfumo wa VYAMA VINGI.

..hao ni tofauti na WAHENGA waliokulia wakati wa Ujamaa / Ukomunisti na mfumo wa chama kimoja.

..CCM inatakiwa ijifunze kuishi na vyama vingine, badala ya kutumia UKANDAMIZAJI kufifisha vyama vingine.
 
Kama kinakufa mbona mnakiogopa sana? CCM imekufa imebaki policcm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…