kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Ya nini huko kuna tume huru na bado mahakama zinatengua matokeo,huko america mpaka kura zilihesabiwa kwa mikono lakini mpinzani hakushinda sasa hapa kwetu ya nini nayo hii iliyopo ni huru!CCM ni ushindi wa asilmia 100 tu.Kama enzi za Sadam.Na hatutak tume huru ya uchaguz
Woga wao nini mkuu !Ccm waoga sana.
Unajitahidi!! Umetumwaa?CHADEMA ndio bye bye hakuna dawa wala uganga inakufa kifo cha Nccr mageuzi,CUF hivi vyama viwili vilipita katika njia wanazopitia chadema kwa hivi sasa,
Nccr baada ya kutamba uchaguzi wa 95 kwa kumpokea kada mkuu wa CCM Lyatonga mrema baada ya hapo ikawa ni mtifuano na kufifisha chama machoni mwa watu mpaka leo hii Nccr haipo labda ukisikia mbatia ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Nccr mageuzi
Cuf ilipita njia hizi hizi za CHADEMA baada ya kutamba uchaguzi wa 2000 Cuf rasmi iliingia kwenye mitifuano isiyo kwisha mpaka kilizaliwa chama cha kingine kupitia aliyekuwa kada wao maarufu Hamadi Rashidi leo hii kama tunavyoisikia Cuf inapumulia mashine kuna ya zanzibar na ya bara
Historia inatuonyesha CHADEMA baada ya kumchukua kada wa Ccm maarufu Lowassa leo hii CHADEMA ipo kwenye minyukano ya chini kwa chini japo wenyewe wanajaribu kuifunika lakini kwa muonekano tu CHADEMA inayumba na imepoteza muelekeo watu kila kukicha wanaikimbia Chama na wameanza kutuhumiana tuhuma za usaliti wao kwa wao!
Swali kwanini kila kada mkuu wa CCM akihamia chama cha upinzani hukumbwa na dhoruba!
Tunataka Tume yote iwe makada wenzetu.HII NCHI ni ya wana CCM tu.Ya nini huko kuna tume huru na bado mahakama zinatengua matokeo,huko america mpaka kura zilihesabiwa kwa mikono lakini mpinzani hakushinda sasa hapa kwetu ya nini nayo hii iliyopo ni huru!
Wayajulia wapi hayo? Uliishawahi kufa? Au weye msukule, mchawi?na kila anayekufa anaona hafi, mpaka anakufa na kukosa muda wa kujiuliza why
Well saidWana Ufipa ukiwaambia Chadema utakufa wanadhan tunamaanisha kufa Kama kifo Cha binadamu
Tunamaanisha kifakufa Kwa maana kitakuwa Kama NCCR Au CUF
Hata akiondolewa Kubenea ataibuka mwingine tu Halafu Mara nyingi wale watu wa karibu Na Mbowe anaewaamini Sana ndio huja kum challenge
Alianza Chacha Wangwe, akaja Zitto Kabwe, akaja Dr Slaa Na Sasa Mwandani Na maiti wa Mbowe Ndugu Kubenea Na Komu nao wamechoka
Hata Hawa kina YericKo nao watakuja kumzingua Na kumchoka Mbowe
Mh hiyo itakuwa faulo mkuu!Tunataka Tume yote iwe makada wenzetu.HII NCHI ni ya wana CCM tu.
Umezungumza vyema sana mkuu hii hama hama si watu wapya haya ni yale makorokoro yaliyosombwa na mafuriko 2015 kwa kuwa watu hawakuangalia ubora waliangalia wingi ili mradi tu waingie ikulu wameona huko si kwao wameamua kurudi nyumbani!Ingekuwa 'upinzani unakufa' sawa, kufa CHADEMA sio kwamba mkuu kapata relief, upinzani sio bendera, upinzani uko rohoni mwa watu, akiweza kuwahamisha watu wote kimawazo na wakahamia CCM kwa moyo safi bila kufuata maslahi basi hapo atakuwa ameweza, ila kwa sasa ni kama fungulia dog hata wasio na hisia na chama chake wanahamia wakiwa na agenda yao rohoni, heri adui unayemfahamu kuliko kuliko yule usiyemdhania! Naona chama kinajali uwingi kuliko ubora na nia thabiti ya ujio wa wageni
Ni wafia tumbo, kama wachezaji wa mpira, leo ataibusu jezi ya Man U na baada ya mwaka akihamia Arsenal anaibusu jezi pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umezungumza vyema sana mkuu hii hama hama si watu wapya haya ni yale makorokoro yaliyosombwa na mafuriko 2015 kwa kuwa watu hawakuangalia ubora waliangalia wingi ili mradi tu waingie ikulu wameona huko si kwao wameamua kurudi nyumbani!
Nani alikwambia mwanasiasa ana haya wala soni mradi afanikishe lake!Ni wafia tumbo, kama wachezaji wa mpira, leo ataibusu jezi ya Man U na baada ya mwaka akihamia Arsenal anaibusu jezi pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapana mkuu.hii nchi ni yetu tu sisi wana ccm.hao wengine wapigwe tuMh hiyo itakuwa faulo mkuu!
Huenda ulipitwa na hii ya utaratibu mpya ya mkutano wa 19, mara baada ya kuona corona imechachamaaitakumbukwa baada ya uchaguzi wa 2015 chadema kilikuwa na zaidi ya wabunge 60 ndani ya bunge la jamhuri lenye viti zaidi ya 390
Kitendo cha kupungua idadi ya wabunge mpaka kufikia 15 ni chama kuimarika?CDM aifi na aitokufa,mwambie jiwe CDM ni mioyo ya watu sio maneno,na ndio maana jiwe na subwoofer wanakiogopa sana
Sent using Jamii Forums mobile app