Namna ya kumu update Antivirus

Namna ya kumu update Antivirus

Joined
Apr 8, 2012
Posts
29
Reaction score
0
Habari zenu mr and mrs nilikuwa naomba msaada wenu kwani mm nimewahi kutiliwa antivirus katika computer yangu lakini kwa sasa hana nguvu tena na ninaambiwa nimu update na namna ya kuupdate cjui sasa naomba japo maelekezo kidogo ya jinsi ya huko kumu update
 
Ni aina gani ya antivirus hatujakuelewa
 
Back
Top Bottom