Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,274
- 61,225
Anasema anamshangaa mama yake kwa kumwambia anajiuwa.Ana matatizo ya kisaikolojia, sio bure, haelewi kuwa kila kiungo cha mwili wake kinafanya kazi ya ziada kwasababu ya uzito, mwisho wa siku organs zinachoka kufanya kazi.
Kwa kweli ni wa kumuhurumia hajui alitendalo ni mgonjwa kweli.
Akishiba sana (maana anapakia haswa) inabidi boyfriend wake amgeuze, peke yake hawezi duu