Namna ya kumkamata mwanaume!!


Yasuo umenikonga moyo kweli. Big up
 
8. Kuwa ngao yake.
Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.

Mama Ashrat,
Ushauri wako wote ni mzuri, ila nimependa hio nilio quote. Dunia hii ina maudhi mengi sana. Assume umetoka kusaka noti mahali na umekutana na maudhi kibao, then unawahi kurudi maskani ukitarajia 'wa moyo' atakupokea kwa bashasha na kukupa pole. Badala yake unakutana na kauli za ajabu ajabu, maswali, lawama n.k. Inaboa sana ktk mahusiano. Mke awe ni mtetezi na mfariji wa mumewe kama ilivyo kwamba mume anatakiwa awe mfariji wa mkewe. Asante kwa kutukumbusha wajibu wetu.
 
wanawake wote wangekua ivi dunia ingekua sehem nzuri sana kuishia!!! hii tabia ya kuomba pesa ovyo mapema mapema inakera sana!!! unataka nikununulie s4 wakat hata mm sina na tumejuana hata mwezi haujaisha!!
 
sis nikikuazima uirudishe fasta kabla mambo hayajaharibika maana utakuwa umeniondolea kinga ya ndoa sikawii kutema big kwa karanga za kuonjeshwa halafu nije nimlee majuto kiroho faaafiiiii.......ntalia!!!!!!

Will appreciate sis... Luv u mwaaaaaaahhhhhh!!!!!!!!!
 

Umeshamaliza karibu yote Mama Ashrat...Kwa mtaji huo unaweza kumweka tunduni hata Mkurya licha ya umahili wake wa kuweka watu ngeu, Hata Mpare licha ya ubahili wake, na hata mgoni, licha ya usukununu wake wa kupenda kuonja onja kama Mkemia!
 
Well said, amani huanzia nyumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…