Namna ya kumdhibiti mume kwenye ndoa

Namna ya kumdhibiti mume kwenye ndoa

Nijuavyo mke si lazima kujishindisha na njaa hvyo kum ngoja mmeo arudi (labda upende mwenyewe)....sema inapendeza pale mmeo unapomuandalia chakula na kumpakulia like unakula nae kidogo ile kumsindikiza asijione alone and all.

Nimeona sanaa kwa wazazi wangu tokea nakua. Unakuta hata mtoto unaitwa na mama anakuambia msindikize baba after yeye mama kula a few scoops....(ni kuonyesha upendo tu that nilishakula but she z still there for you).

On my side sioni shida kihivyo mke wangu kunifanyia hvyo. Kikubwa ni TRUST tu.
 
Hapo sasa umemshibiti nini?? Sana sana imemdhibiti ili awe anakula nyumbani, suala la michepuko, mwanaume hazuiliki akiamua, hata huyo beki tatu anaweza akawa kipoozeo.
 
Hiyo njia ni nzuri , ukitaka kuiga kuwa makini kuna midume utakua unashinda njaa kila siku
 
Ukipata mwanaume anayejali unaweza kufanya hivyo vinginevyo unajitafutia vidonda vya tumbo tu bure
Na kwa tekniki ya huyo aliyesimuliwa ktk uzi, amefeli! Wanaume tunajua kusoma nia ya mwanamke ni nini akifanya jambo fulani, hivyo kutafuta loop hole tu kama tuna nia ya kuchepuka, na bado kila chakula nitakuwa nakula nao.
 
Mwanamke akisimama kwe nafasi yake na atambue majukumu yake ya usaidizi hata mwanaume mkorofi hutulia maana hakuna wanaume asopenda faraja
 
Back
Top Bottom