- Thread starter
- #61
mabadiliko yanawezekana ila yako katika sehemu tatu tuila wengi hudhani kumbadilisha mtu ni kitu cha muda mfupi au papo kwa papo
- muda mfupi
- muda wa kati
- muda mrefu
tabia huchukua muda tofauti kutegemeana na malezi alikotoka
BPM asante sana kwa mawazo yako
Naamini kweli mtu akiwa na nia ya kugeuka au kubadilika nafasi ipo sana kw amtu huyo kufanya hayo haswa kwa wanandoa