Anyway sawa vizuri majibu ni mazuri, sema huo uzi nimeuanzisha sio kwamba nimeumizwa mimi nlitaman kupata expiriencenimesoma kichwa cha habari nikafikiri unatoa namna kumbe unatuomba ushauri 𝑎𝑛𝑦𝑤𝑎𝑦 𝑝𝑜𝑙𝑒 𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑠𝑎𝑘𝑖𝑡𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑖𝑗𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑑𝑖𝑣𝑦𝑜 ℎ𝑖𝑣𝑦𝑜 𝑤𝑎𝑙𝑖𝑣𝑦𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑢𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑢𝑚𝑒 𝑎𝑢 ℎ𝑒𝑙𝑎 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑔𝑖. 𝑯𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒋𝒖𝒂 𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒗𝒊𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒏𝒏
Asante sana kwa ushauri, positive idea nimekuelewa🤝Muda utakusaidia utasahau na utaendelea na maisha-ila tu itakuwa poa kama utaachana na huyo msaliti kwanza
Anyway sawa vizuri majibu ni mazuri, sema huo uzi nimeuanzisha sio kwamba nimeumizwa mimi nlitaman kupata expirience ili yakinikuta nijue nafanyajenimesoma kichwa cha habari nikafikiri unatoa namna kumbe unatuomba ushauri 𝑎𝑛𝑦𝑤𝑎𝑦 𝑝𝑜𝑙𝑒 𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑠𝑎𝑘𝑖𝑡𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑖𝑗𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑑𝑖𝑣𝑦𝑜 ℎ𝑖𝑣𝑦𝑜 𝑤𝑎𝑙𝑖𝑣𝑦𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑢𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑢𝑚𝑒 𝑎𝑢 ℎ𝑒𝑙𝑎 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑔𝑖. 𝑯𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒋𝒖𝒂 𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒗𝒊𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒏𝒏
Exactly kabisa hii pia ni njia bora japo ni wachache wenye agility ya kuchukua maamuzi kama haya, lakini naungana na wewe kwa kusema Mungu ndiye faraja kwa kila kitu🙏Namna rahisi ya kusahau kusalitiwa ni kujifungamanisha na Mungu. Fanya maombi mara kwa mara kwa kumwomba Mungu umsahau aliyekusaliti.
Yeah!!! Hii ni kweli nadhan expectations kubwa kweny mahusiano ndo unatuumiza wakati mwingine, tunategemea vitu vikubwa kutoka kwa wenzi wetu, jambo linaloumiza sana pale tunapoamblia usaliti,Nikajua umetuletea suluhusho kumbe nawe unatafuta suluhisho.
Nafikiri dawa ni kuepuka kuwa na matarajio makubwa kulekea kwa mwenzi wako.
🥰😍Haya yote ni mindset tu, kabla kuingia kwenye mahusiano lazima uwe unafahamu kuwa Kuna kusalitiwa na mtu yeyote yule hivyo lazima uliweke hili akili, katika haya maisha ukishafahamu tu toka mwanzo kuwa hakuna kitu kibaya au kizuri kitakaa milele na wewe ukaukubali ukweli huu wa asili wa haya maisha Kwa moyo wote basi wewe unaweza kushinda Kila jambo mbele yako, Mimi niliukubali ukweli huu kitambo maana ukweli huu hukusaidia kusonga mbele na Wala hujali master.
Ruba pro max 🤣🤣🤣Naona humu watu ni tafuta mwingine tafuta mwingine je huyo mwngne hawez kukusaliti...??
Mimi ni ke mwanaume wangu nikimfuma na mwanamke simuachi ng'oo maana wanaume wameumbwa hivyoo kikubwa hasinioneshe kunidharau kwenye hayo mahusiano.
KabisaNjia ni mbili tu, Forgive or revenge....
Kijana jitahidi usifundishwe kila kitu.
Ruba pro max 🤣�
Wanaume ndio wale wale tu utaangaika na huko kwingine utapigwa tukioo sijui tutabadili wangapiRuba pro max 🤣🤣🤣
Acha kabisa nikikumbuka huwa nacheka sana.Kwahiyo ulikabiliana vipi Mkuu
Revenge hii haiepukikii.Njia ni mbili tu, Forgive or revenge....
Kijana jitahidi usifundishwe kila kitu.
Kijana pole kwa yalikukuta kama umekaa nae miaka mitatu kushuka chini maumivu miezi 6Usaliti ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi.
Jamii yetu ya saivi haswa kwa vijana wanapitia changamoto ya maumivu makali haswa pale wanaposalitiwa na wapendwa au wapenzi wao, sio siri inauma kwa hakka, kwa ambao wameshapitia hali hii wanatambua maumivu ya usaliti.
Kama kuna member yeyote wa JF ameshapitia hii hali basi anaweza kushare kidogo jinsi alivyo kukabiliana na hali hiyo ya maumivu na kurudia kawaida ili tuweze kujifunza kitu karibuni kwa hoja.
Nikwambie kitu, sikukatazi kuwa ruba ila kuna aina ya wanaume wa kuwang’ang’ania….!!Wanaume ndio wale wale tu utaangaika na huko kwingine utapigwa tukioo sijui tutabadili wangapi
Duh.Acha kabisa nikikumbuka huwa nacheka sana.
Kausha mkuu kufa hufi ila chamoto utakiona.Duh.
Pole mkuu, ila moto wa kupikia kande umekuwakia moyoni halafu mpaka Leo uko hai unachat jf,..
Hivi huoni kabisa kama umetupiga mkuu😃