Namna ya kukaanga yai kitaalamu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
MAHITAJI
1.
Mayai matatu makubwa
2. Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula
3. Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo
4. Chumvi kidogo
5. Siagi
6. Mafuta ya kupikia

MAPISHI
1.
Pasua mayai tia katika bakuli, tia humo chumvi, manga, na maji ya uvuguvugu
2. Katika moto wa wastani weka kikaango jikoni, tia humo siagi na mafuta ya kupikia kiasi, acha yachemke kiasi
3. Mwagia rojo la yai humo tandaza vizuri
4. Yai likishaiva upande wa chini, pindua upande mwingine ivisha kisha toa yai kutoka kwenye kikaango
5. Acha yai lipoe

Andaa mikate na chai ya maziwa na yai kisha jenga mwili

FB_IMG_1668196769874.jpg
 
MAHITAJI

1.Mayai matatu makubwa

2.Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula

3.Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo

4.Chumvi kidogo

5.Siagi

6.Mafuta ya kupikia

MAPISHI
1. Pasua mayai tia katika bakuli, tia humo chumvi,manga, na maji ya uvuguvugu

2. Katika moto wa wastani weka kikaango jikoni, tia humo siagi na mafuta ya kupikia kiasi, acha yachemke kiasi

3. Mwagia rojo la yai humo tandaza vizuri

4. Yai likishaiva upande wa chini, pindua upande mwingine ivisha kisha toa yai kutoka kwenye kikaango

5. Acha yai lipoe

Andaa mikate na chai ya maziwa na yai kisha jenga mwili

View attachment 2413903
Maji ya vuguvugu ya nini mkuu?

Yanaongeza protini au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom