Namna ya kujiunga WORLD VISION

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
803
Wakuu habari,

Naomba kujua unapotaka kuajiriwa WORLD VISION unalipia fomu ya kujiunga?. Au kuna utaratibu gani hapo kwa form four?

Wakiwa wanafungua tawi mfano Mwanza kuna taratibu zipi hasa kwa wanaoajiriwa kwa form four lakini.

Nawasilisha.
 
Matokeo yako ni ya daraja la ngapi kwa ufaulu?

Na umehitimu mwaka gani?
 
Sio rahisi kupata ajira kwa Form Four. Form four utaajiliwa na shirika ambalo world vision watakuwa wame-outsource..
Wakuu habari,

Naomba kujua unapotaka kuajiriwa WORLD VISION unalipia fomu ya kujiunga?. Au kuna utaratibu gani hapo kwa form four?

Wakiwa wanafungua tawi mfano Mwanza kuna taratibu zipi hasa kwa wanaoajiriwa kwa form four lakini.

Nawasilisha.
 
Wakuu habari,

Naomba kujua unapotaka kuajiriwa WORLD VISION unalipia fomu ya kujiunga?. Au kuna utaratibu gani hapo kwa form four?

Wakiwa wanafungua tawi mfano Mwanza kuna taratibu zipi hasa kwa wanaoajiriwa kwa form four lakini.

Nawasilisha.
Kama si mkristo usijisumbue kuomba
 
Back
Top Bottom