Namna ya kuipata kwenye mtandao ( kudownload) movie ya kihindi ya Andhaa Kanoon

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,923
12,141
Please mods mnisaidie kuhamishia thread hii jukwaa husika.

Jaman naomba msaada wa kujua namna ya kuipata kwenye mtandao ( kudownload) movie ya kihindi ya Andhaa kanoon iliyochezwa na Amitha Bachana yenye subtitle ya kiingereza. Au msaada wa namna ya kuiwekea subtitle movie ambayo nimeshaidownload.
 
Google english subtitle ya hyo muv yako zitakuja option kisha download baad ya kudownoal file litakuwa zipped so extract nenda kwny vlc kaselect subtitle yako...... au kwny vlc nenda kwny view afu nenda kwny subtitle itasachi yenyew online nakudownload
 
Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom