namna ya kuingia kwenye kitengo cha uhamhaji

namna ya kuingia kwenye kitengo cha uhamhaji

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
243
Reaction score
39
naombeni maelekezo wana jamvi, mimi nimemaliza chuo(first degree) nataka kujua namna ya kuweza kujiunga na mafunzo ili niweza kuingia kwenye kitengo cha uhamiaji
 
Kwa nin uctafute kazi ya professional yako uliyosomea?
 
naombeni maelekezo wana jamvi, mimi nimemaliza chuo(first degree) nataka kujua namna ya kuweza kujiunga na mafunzo ili niweza kuingia kwenye kitengo cha uhamiaji
umesomea nini?mara nyingi wanataka sheria na siku hizi wapo walio specialize kwenye immigration ambao ni B.A Law Enforcement lakini kama hujasomea sheria itakubidi uombe kwa kutumia cheti cha kidato cha sita then siku ukimaliza kwata pale CCP ndio unaonesha vyeti vyako vya chuo,pia mkuu kuna kitu nimesahau pale kuingia lazima utoe chapaa kufa mtu
 
Nenda Tunduma,vuka mpaka kuelekea Zambia bila Passport,wakikukamata waambie una Degree WATAKUPATIA KAZI muda huohuo,chagua kitengo cha ukaguzi dirishani,kila siku hukosi RUSHWA kama laki 5,fanya kazi wiki 4,anza kulewa ,usije kazini kama siku 6,
Mengine endelea mwenyewe.:rockon::der::der::crazy::iamwithstupid:
 
Back
Top Bottom