Namna ya kuifungua simu aina ya huawei u8650

COMPUTER SANGA

New Member
Jan 30, 2012
2
0
Wadau ninaomba mnisaidie free techniques/softwareS za ku-unlock(kuifungua) hii simu yangu

Manufacturer: HUAWEI

MODEL : U8650

Imefungwa: Tigo Tanzania


Naombeni sana msaada wenu wadau wenzangu wa IT.
 
Back
Top Bottom