nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 5, 2015 #1 Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy. Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika computer?
Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy. Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika computer?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Feb 5, 2015 #2 nemulo said: Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy. Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika computer? Click to expand... Njia salama ni kuhifazi "Online" Napendekeza utumie Google Drive >| https://drive.google.com/ Kama una unatumia gmail Account utatumia Email na Password hizo hizo. Waweza Download Software ya Google Drive na kuiweka katika PC yako hapa>| https://www.google.com/intl/en/drive/download/ Automatic itakuwa ina "sync" faili lolote utakaloweka kwenye Google Drive folder.
nemulo said: Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy. Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika computer? Click to expand... Njia salama ni kuhifazi "Online" Napendekeza utumie Google Drive >| https://drive.google.com/ Kama una unatumia gmail Account utatumia Email na Password hizo hizo. Waweza Download Software ya Google Drive na kuiweka katika PC yako hapa>| https://www.google.com/intl/en/drive/download/ Automatic itakuwa ina "sync" faili lolote utakaloweka kwenye Google Drive folder.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 5, 2015 Thread starter #3 Nashukuru sana mkuu nitakifanyia kazi hilo Ila naomba pia unifahamishe zaidi,endapo computer yangu itaharibika na kupoteza files Je nitaweza kuzipata tena kwa kutumia computer nyingine baada ya kazisave online?
Nashukuru sana mkuu nitakifanyia kazi hilo Ila naomba pia unifahamishe zaidi,endapo computer yangu itaharibika na kupoteza files Je nitaweza kuzipata tena kwa kutumia computer nyingine baada ya kazisave online?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Feb 5, 2015 #4 nemulo said: Nashukuru sana mkuu nitakifanyia kazi hilo Ila naomba pia unifahamishe zaidi,endapo computer yangu itaharibika na kupoteza files Je nitaweza kuzipata tena kwa kutumia computer nyingine baada ya kazisave online? Click to expand... Ndio documents zako zote zitakuwa salama Waweza kuzi download wakati wowote kwa kutumia Simu, Tablet au Computer nyingine yeyote mahala popote. Pia kuna hii "OneDrive" >| https://onedrive.live.com/about/en-us/ | Ni salama na ni bure kama ilivyo kwa Google Drive.
nemulo said: Nashukuru sana mkuu nitakifanyia kazi hilo Ila naomba pia unifahamishe zaidi,endapo computer yangu itaharibika na kupoteza files Je nitaweza kuzipata tena kwa kutumia computer nyingine baada ya kazisave online? Click to expand... Ndio documents zako zote zitakuwa salama Waweza kuzi download wakati wowote kwa kutumia Simu, Tablet au Computer nyingine yeyote mahala popote. Pia kuna hii "OneDrive" >| https://onedrive.live.com/about/en-us/ | Ni salama na ni bure kama ilivyo kwa Google Drive.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 5, 2015 Thread starter #5 Shukran mkuu,ubarikiwe.