Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 302
- 26
Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa nimepoteza magroup ya awali na kumbukumbu zake zote, swali!! je kunauwezekano wa kurejesha ma group niliyokuwa nayo awali????