Nonji Member Joined Nov 22, 2017 Posts 25 Reaction score 8 Jun 11, 2019 #1 Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,921 Reaction score 4,215 Jun 11, 2019 #2 shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Likini tunaanza upya?
Nonji Member Joined Nov 22, 2017 Posts 25 Reaction score 8 Jun 11, 2019 Thread starter #3 shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Mkuu namba kwanza kufahamu kwamba nalipia ndo nijisajili au najisajili kwanza maana kwangu bado inagoma
shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Mkuu namba kwanza kufahamu kwamba nalipia ndo nijisajili au najisajili kwanza maana kwangu bado inagoma
Nonji Member Joined Nov 22, 2017 Posts 25 Reaction score 8 Jun 12, 2019 Thread starter #4 shamp said: Ntakup somo kesho mkuu Click to expand... Asante mkuu. Naomba somo.
muxa Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 195 Reaction score 161 Jun 12, 2019 #5 akikupa somo nitag mkuu