NAMNA YA KUHAKIKI VYETI RITA

NAMNA YA KUHAKIKI VYETI RITA

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
30
Reaction score
30
Habari wakuu?

Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma.

Naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom