Naomba kujua ninavyoweza kufuta account yangu moja twitter au ninavyoweza kublock account mojawapo maana ninazo mbali ila yapili sitaki kuitumia niliifungua nikiwa nje ya nchi sikutaka kutumia account yangu ya ndani.Please mwenye kunielewa anisaidie.
Fata ushauri wa Goddes apo juu kanisaidia nimerejesha account yangu ya twitter lakini pia kupitia kwenye setting &privacy nimerudisha na account yangu ya Instagram.
Mimi account yangu hainiruhusu hata kuingia (kulog in) ukitaka tu kulog in inakudirect moja kwa moja kwenye kuverify phone number through call me then ukichagua call me ndo inakuja hiyo message ya kuwa "sorry failed: please try again later"!
Msaada please ndugu