jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Tukitaka mapenzi ya enzi za mama zetu ya rudi na hawa wanawake watupende na kuheshimu wanaume bila kujali ile zana ya 50_50 imewaathiri vipi, njia sahihi ni kwa wanaume wote kuadhimia kuto wapa wala kuwa honga ela hawa wa kina dada wasasa bila kujali wapo na matatizo gani.