Namna ya kuficha faili (folder) kwenye computer yako (INVISIBLE folder)

Namna ya kuficha faili (folder) kwenye computer yako (INVISIBLE folder)

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Namna ya kuficha faili (folder) kwenye computer yako
kwenye darasa la leo nitafundisha namna ya kuficha folder kwenye komputer yako na mtu asilione kiraisi
kiraisi fwatana nami kwenye darasa la leo.


(1)Atua ya kwanza bonyeza upande wa kulia(right clik) kwenye folider na bonyeza
properties.
Invisible_folder_1.jpg

(2)Bonyeza neno Customize Option.
(3)Bonyeza neno Change Icon.
(4)Vuta kwelekea upande wa kulia tafuta Icon ambayo ahionekani (invisible Icon)
Invisible_folder_2.jpg

(5)Bonyeza OK
(6)kazi kwisha. enjoy !!!!!!!!!!


Kama Umepata tatizo lolote tafadhali nitumie E-mail na comment Hapo chini. :A S 112:HAPA

​
 
mbona jina la folder limebaki mkuu?...ningependa kama ungetoa shule ya ku-lock file lisifunguke kabisa.
 
Namna ya kuficha faili (folder)

darasa la leo nitafundisha namna ya kuficha
Faili na folder ni vitu viwili tofauti, huwezi kusema kwenye darasa la leo nitawafundisha jinsi ya kuficha faili (kwenye mabano folder!) Watanzania tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom