Namna ya kuficha "Active now" kwenye Facebook

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Naomba mnipe huu ujuzi maana kuna watu wasumbufu sana duniani, wakikuona tu upo active Facebook basi hao wanaanza kuja inbox. Hakuna la maana wakuambialo zaidi ya kupigana virungu tu. So nipeni ujuzi hapo namna gani nifanye ili nikiwa natumia Facebook nisionekane kuwa nipo active. Hata ile "Last seen" siitaki pia.
 
Go to
Screenshot_20200125_092657~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom