karakaka
Member
- Jan 3, 2016
- 32
- 5
WAJAMENI MIMI NAOMBA MAWAZO YA NAMNA GANI MTU ATAFAULU HII CPA KWA URAHISI BILA YA KUTUMIA NGUVU SAAAAANA.JE KUNA KITUO GANI CHA REVIEW NI KIZURI,JE KTK KUJIBU MASWALI NIELEZEEE KWA UNDANI SAAANA AU JUU JUU TU.NAOMBA MSAADA MAANA NIMEPIGWA NGUMI ZA USO KAMA MARA TATU HIVI SIJAAMBULIA KITU.HAPA NAJIFIKIRIA KUFANYA TENA MASOMO YOTE YA FINAL.JE NAWEZA KUCHOMOA ?