Namna ya kudivert line kwa Smartphone

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Habari Wakuu,
Baada ya Vodacom kupandisha gharama ya vifurushi vyao. Nimeamua kuiweka line yao pembeni na kuchukua TTCL. Ila sitaki kupoteza wateja wangu wa Vodacom.
Nahitaji kudivert line ya voda ili nikipigiwa simu ziingie kwenye line Mpya ya TTCL.
Naomba nipewe ujuzi wa jinsi ya kudirvert kutumia Android Os.
Asante.
 
Cc CHIEF MKWAWA
 
Chukua simu yako, bonyeza home key, Tafuta app iliyo andikwa phone, kisha bonyeza, angalia pale juu kabisa upande wa kulia kuna vidoti vitatu, then bonyeza , ukisha bonyeza itakuletea baadhi ya maneno kama call barring, call forwarding na e.t.c
Sasa wewe nenda hapo kwenye call forwarding then click, ukisha bonyeza ita load kwa sekunde kadhaa, ikisaha fungua itakuambia andika namba unayotaka kuidivert, ukisha andika then una bonyeza okeay, itaload baada ya mda kisha itakuambia umefanikiwa kuchepusha number.

Kama haujaelewa ulizaaaa
 
Asante sana. Nitakuletea Mrejesho nyuma baadae.
 
Nimefanikisha Mkuu japo nimeingia kwenye phone halafu Settings.
 
Muhimu ni Kuwa iyo line iliyo nje ya simu iwe na Salio La kawaida na sio kifurushi, Gharama za hio Huduma ziko juu kweli, Hio line kama haina credit hautafanikisha Ilo,
 
Back
Top Bottom