goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,343
Mahari urudishiwe akati umemgonga miezi sita yote mkuu...! Ulitegemea umgonge bure tu au..??? hahahahaha mungu anakuonaa
Kakimbia ulofa uliozidi ulimlaghai wakati unamuoa kuwa una pesa kumbe lofa kagundua.Ushahidi ni huo wa kudai mahari .Unaonyesha ulivyo lofa.Mahari hulipwa na wazazi wako sio wewe .Unadai usicholipa wewe kweli wewe LofaNi zaidi ya miezi 6 sasa wife akiwa kwao bila sababu ya msng na wazazi wake wameamua kabisa asirudi. Naombeni msaada kuhusu namna ya kudai mahali yangu kwani naona kama ni utapel flan hivi nimefanyiwa
Kakimbia ulofa uliozidi ulimlaghai wakati unamuoa kuwa una pesa kumbe lofa kagundua.Ushahidi ni huo wa kudai mahari .Unaonyesha ulivyo lofa.Mahari hulipwa na wazazi wako sio wewe .Unadai usicholipa wewe kweli wewe Lofa