umeona eeeee mke mwenza wa sirini!!! nisindikize makaburini kinondoni nikamuombee mlengwa! hizi topoc za leo za MziziMkavu hizi, kwanza aliye na kei yangu narudia tena anirudishie, siioni hapa nilipo kabisaaaaaa!KEEEEEEEREUWIH! MziziMkavu haya unaona watu hatutafanya kazi leo hapa,naombeaje mwalimu mwenzangu gfsonwin awe na vipindi mpka jioni na mke mwenzangu wa sirini cacico nae awe busy au hata Elizabeth Dominick awe na dili kali kweli kweli wasije huku!
huku ni hatari mvua huu ndio mwezi wake na ikishamalizika mvua itakuja snow barafu hakukaliki huku hakuna cha Krismax wala nini ni barafu mtindo mmoja ni kuvaa nguo nyingi mwilini unakuwa mweupekwa barafu usifanye mchezo nitalitamani joto la Dar watu8 ikifika December 25 hatari Snow ya huku inakwenda mpaka -10 inatoka Sifuri mpak hiyo kitu kaka usicheze............ Ulaya kwa baridi sikupendi kabisayeah i can imagine ndio mwaelekea winter sasa...
MziziMkavu leo kaamka nazo zikiwa pomoni!! kuja pande za huku mganga wetu wa jadi jamvini upatiwe tiba! kuna vijukuu kule chit chat Asprin atakupatia ambavo havijakaguliwa! lolHeeeeeeeeeeey! Peopleeeeeee! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! Namna gani kuleta mada hizi mida ya kumpa chake kilicho chake Kaisari!!!! Im tryng to concentrate over here!!!!!!!!! NAMNA GANI KUPANDISHANA GENYE MIDA YA KAZI!!!!!!! Nitarudi usiku kusoma kwa umakini!
Heeeeeeeeeeey! Peopleeeeeee! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! Namna gani kuleta mada hizi mida ya kumpa chake kilicho chake Kaisari!!!! Im tryng to concentrate over here!!!!!!!!! NAMNA GANI KUPANDISHANA GENYE MIDA YA KAZI!!!!!!! Nitarudi usiku kusoma kwa umakini!
Polesana wewe upo kwa watu wa uamsho Joseph Uko hakuna mchezo kwa ndugu zangu yakhe wanajuana kwa kila hali usifanye mchezo huko utaozeshwa ndoa ya mkeka usijaribu kabisa.....................
Hapo ndio pabaya zaidi maana huku wanachezeana wenyewe kwa wenyewe sio wengine tukigusa tu utasikia mak........ri hao hawafai kugusa dada zetu.
Makubwa! Napita
umeona eeeee mke mwenza wa sirini!!! nisindikize makaburini kinondoni nikamuombee mlengwa! hizi topoc za leo za MziziMkavu hizi, kwanza aliye na kei yangu narudia tena anirudishie, siioni hapa nilipo kabisaaaaaa!
MziziMkavu
Mkuu walah natengeneza zengwe ofisin la kuumwa nirud home mie...
tena ngoja nianze kumchokodha hapa thru sms....
Aga unaenda hospitali upitie na ED uka_DEMO.
Duh! Kwa hiyo kwenu sikukuu ni ijumaa na jumamosi tu. Ratiba anasimamia nani?