Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

hhahahha! labda kama even at 45 mtu anakuwa mchezaji wa timu ya taifa but kama sio ni wazi kwamba vijana ndo wachezaji wazuri kama vile wewe.

mm nimesha zeeka mdogo wangu, hapa nilipo mshale ni mbili kasorobo.

Ooh nimekupata, hapa MMU mie hujitahidi sana kuchangia zile threads ambazo watu huona aibu kutoa ujuzi, uzoefu au uelewa....
Ufahamu wangu wa mambo haya hauna uhusiano wowote na uhalisia wa maisha ya watu8, mimi ni mtu anayependa kujifunza mambo mapya hivyo hunilazimu kusoma sana vitabu, majarida, mitandao n.k ambavyo uhusika na masuala ya mapenzi n.k
 
aaaaah! WAU8 mbona hata kama unafanya kwa kiwango hicho u deserve congratulations??/ yaani mbona mwenyewe nakufagilia sana tu manake asikwambie mtu watu watapindisha sentensi wewewe ila uweli kama mwanaume hajui kudo mpaka binti ukajiskia umekunwa barabara huyu hafai kamwe.
 
Last edited by a moderator:

hafai kwa kubanikwa wala kuungwa nazi sio!
 
Ooh nimekupata, hapa MMU mie hujitahidi sana kuchangia zile threads ambazo watu huona aibu kutoa ujuzi, uzoefu au uelewa....
Ufahamu wangu wa mambo haya hauna uhusiano wowote na uhalisia wa maisha ya watu8, mimi ni mtu anayependa kujifunza mambo mapya hivyo hunilazimu kusoma sana vitabu, majarida, mitandao n.k ambavyo uhusika na masuala ya mapenzi n.k
mi mbona nakuamini mtani wangu!sa hizi nshafanya kazi naweza kusoma macomments yako maana nawe huwa hupepesi macho!
 
aaaaah! WAU8 mbona hata kama unafanya kwa kiwango hicho u deserve congratulations??/ yaani mbona mwenyewe nakufagilia sana tu manake asikwambie mtu watu watapindisha sentensi wewewe ila uweli kama mwanaume hajui kudo mpaka binti ukajiskia umekunwa barabara huyu hafai kamwe.

hahah yup ni kweli kabisa maana the same applies kwa wanaume...kuwa kama mwanamke atakuwa mvivu kitandani basi humpotezea hamu kabisa mwanaume...
 
Last edited by a moderator:
sa hizi MziziMkavu katuamulia ile mbaya!ila kusema ukweli ule wa moyo haya makitu yanaenda na maujanja ya kibunifu kwa wote wawili

Leo asubuhi niliona kaporomosha uzi mwingine nikajiamulia kukaa kando kwanza...
Ni kweli ndugu yangu, wanawake wengi hulia ndoani kwa kuwa waume zao huwafanya kama baiskeli au farasi...just to get a ride
Pia wapo dada zangu ambao hukaa kama mti ulioangushwa na kimbunga cha SANDY, yaan full kujiegesha hata akifika kileleni ni kimya kimya...
Mungu tu awasaidie watu hawa wajitambue kwa kweli...
 
tatizo watu wengi wanafanya hili tendo kwa mazoea yani ili mradi kutimiza wajibu kwa kuwa ni wapenzi au watu wa ndoa!
likusha fanyika alimradi matokeo yake ndo huwa haya!ila ile kitu uifanye ukiwa full motivated kindani na ki nje wacha kabisa !
 
We mpe hela nyingiii haitajalisha alichofanyiwa. Utashangaaa zitakavyoamka
 
Ooh nimekupata, hapa MMU mie hujitahidi sana kuchangia zile threads ambazo watu huona aibu kutoa ujuzi, uzoefu au uelewa....
Ufahamu wangu wa mambo haya hauna uhusiano wowote na uhalisia wa maisha ya watu8, mimi ni mtu anayependa kujifunza mambo mapya hivyo hunilazimu kusoma sana vitabu, majarida, mitandao n.k ambavyo uhusika na masuala ya mapenzi n.k

Watu gfsonwin nimewamiss sana
 
Last edited by a moderator:
Kuongezea tu ni kuwa kiungo chochote cha mwili wa mwanadamu(haswa mwanamke) ambacho ni mithili ya ncha au upaba(mathalani chuchu, masikio, midomo, kinena) au maungio ya viungo(kwenye kona nyuma ya goti, shingoni)...hizi sehemu ni muhimu sana kwenye kumpa hashiki mwenzi...
Wakati wa chakula cha usiku jaribu kuzipapa, kulamba na hata kupitisha pumzi sehemu hizo taratibu na kwa ustadi mkubwa.

Hata vidole vya mikono na miguu, pamoja na nyayo na visigino vya miguu. Ukimlamba mwanamke maeneo haya, analowa baraa
 
Back
Top Bottom