Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
eka tena kingroot, root tena halafu tumia njia sahihi ku unrootAina ya CM ni Tecno C8 na imerootiwa kwa kingroot na alipo iformat cm kingroot ilitoka. Ukitumia root checker inatoa taarifa kuwa the root improperly installed. Nini itakuwa tatizo hapo?