mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 262
Wakuu hdd yangu nilii lock na password miaka 3 sasa, after some times nikabadili pc baada ya kubadili najaribu kuweka ile hdd inagoma inasema zile password ni invalid.
But hii ilitokea mara baada ya mtoto kuichezea mara 4 pindi nimeiweka hiyo hdd kwenye pc mpya je nawezaje kuitoa na kuifungua? Na jee kuchezewa na mtoto mara 4 kunaweza kuwa kumechangia isifunguke?
Msaada tafadhali