Namna ya ku track sms na calls

Namna ya ku track sms na calls

uzi huu mrefu sana lakini jawabu bado hatulioni, hivi wote kweli hatuijui hii App tumulike mwizi?
 
uzi huu mrefu sana lakini jawabu bado hatulioni, hivi wote kweli hatuijui hii App tumulike mwizi?

Zipo app za ku track alipo kwa kutumia GPS. Inabidi install kwenye simu ya mlen'gwa na hapo itarusha location map anapovinjari. Qoute/ Trust but verify - Ronald Reagan former prezzo US of A.
 
Zipo app za ku track alipo kwa kutumia GPS. Inabidi install kwenye simu ya mlen'gwa na hapo itarusha location map anapovinjari. Qoute/ Trust but verify - Ronald Reagan former prezzo US of A.

trust no one!
 
jaman natakakujua ile software ya kuflash simu inaitwaje....naomba mnipe link download yake....please
 
Mkuu naona wamekuzungusha sn. Mimi niliweka kwny Simu yng yny android prog inaitwa call recorder. yenyewe ipo automatic ukianza kupiga ama kupokea cm tu inarecod kazungumzo yote na kusevu kwenye memory card. unaweza ku play km muziki. inabidi sasa uwe na memory kubwa. ila mzee cku moja nilipata kasheshe hom nusura niachane na dem wangu wiki mbili nilikua naomba tu radhi. install kinyemela kwenye cm yake na uwe unakwenda kusikiliza na baadae kufuta
 
Kuna app inaitwa SYMBRECORDER download then install nilishawahi kutumia kwenye nokia E72 ni nzuri sana.inarecord mazungumzo yote kisha unachofanya ni ku playback pia unaweza kuweka password ili mtu mwingine asiweze ku playback simu zilizopigwa.
 
Ni software ipi niki instal kwenye simu ya mtu nitaweza kufaham kilakitu anachokifanya kwenye simu yke kuanzia text msg, photo adi mahali alipo.
 
ingia google play search mobile spy au mobil tracker zitakuja apps utachagua ile nzuri ambayo ina rate kuanzia 4.1 lakn nying ni za kizushi mimi mwenyw nmehangaika sana lakn wapi may be ni aina ya simu ninayotumia but ya msingi ni ISPYOO
 
Back
Top Bottom