Namna ya ku track sms na calls

Namna ya ku track sms na calls

Unapenda pressure kijana,!?? acha mambo hizo
 
Wivu mbaya sana! Baadaye utataka namna ya kujua passwords za Email address zake kibao alizo nazo!

Ni kujitafutia kifo kabla ya muda tu. Binadamu hachungiki.
 
Kutrack mawasiliano ya simu ya GF wako vipi mitandao mingine kibao? Vipi mawasiliano ya ana kwa ana? Vipi ukaguzi wa sehemu muhimu za mwili kama zimetumika au la? Utakufa kabla ya siku zako Kijana. Binadamu hachungwi, bali anajichunga mwenyewe.
 
lengo nikujua 2 kama nipo kwe track sahihi!
 
Kama unataka kumuacha huyo girl friend wako i umuache tu kwani lazima kumtafutia sababu?!
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank u

wivu ukizidi haufai katika mapenzi unageuka kuwa kero, baadae utaanza ata kumkagua nyuchi yake akitoka matembezini
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank u.

Nia yako ya kufanya hivyo ni nini hasa? Pili inabidi ujiridhishe kuwa una kifua cha kuvumilia matokeo yeyote utakayokutana nayo. Smartphones nyingi zina applications ambazo zinaweza kukidhi haja yako, ingawa nyingi ya hizo applications ni za kulipia pesa kidogo. Mfano kwa Samsung kuna application ya Calls Recall ni nzuri sana au pia Call Recorder. Kuna applications nyingi sana tafuta muda tulia kwenye mtandao uchambue inayokufaaa zaidi!
 
tafta app inaitwa spybubble bt inauzwa ukiwa nayo kaz kwako tu
 
Nia yako ya kufanya hivyo ni nini hasa? Pili inabidi ujiridhishe kuwa una kifua cha kuvumilia matokeo yeyote utakayokutana nayo. Smartphones nyingi zina applications ambazo zinaweza kukidhi haja yako, ingawa nyingi ya hizo applications ni za kulipia pesa kidogo. Mfano kwa Samsung kuna application ya Calls Recall ni nzuri sana au pia Call Recorder. Kuna applications nyingi sana tafuta muda tulia kwenye mtandao uchambue inayokufaaa zaidi!

aksante sana!
 
kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda bahari watu wasioge,unazuia watu wasioge zanzibar wengine wanaoga bagamoyo,unazuia bagamoyo wengine wanaoga kigamboni.kazi ni kwako mkuu

hapo pabaya mkuu! So what should I do na?
 
Back
Top Bottom