Daaaaaah, we kijana mwanamke ukitaka kumfuatilia utajiletea matatizo mengi sana. sikatai mwanamke ni muhimu kumbana lakini kuna kipindi ukitaka kukaba hadi penalt utapata matatizo sana. hawa wenzetu wana akili mara 2li yetu ifikapo katika suala zima la mapenzi. ila kwa mambo mengine ni wajinga kuliko mtoto wa mwaka 1 ambapo mwanamk eutamchezea na kumbadilisha utakavyo bila yeye kujijua.
application hizo zipo sana tu na mii ninayo moja ambayo nishawahi kuitumiakwa wife,il niliiondoa aada ya kunifanya nimchukie mke wangu ghafla. so sikushauri kabisa utumie vitu kama hivyo.